Masiku Bora Duniani

Wahadhiri : Abubakari Shabani Rukonkwa -

Kurejea:

Maelezo

1. Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa Uchamungu, na maana ya khutbatu Alhaja, kisha akabainisha swala ya khusufu na Malengo ya khusufu.
2. Mada hii inazungumzia: Fursa ya kuyafikiwa na masiku bora duniani, kisha ametaja miezi mitukufu, na akaeleza ubora wa masiku hayo, na ubora wa siku ya Arafa.
3. Mada hii inazungumzia: umuhimu wa kufunga siku ya arafa, na mambo anayo takiwa afanye katika masiku kumi ya mfungo tatu.
4. Mada hii inazungumzia:miongoni mwa matendo mema katika masiku kumi ya mfungo tatu, na amebainisha ubora wa kutowa salam, Kuunga udugu na kuwafanyia wema wazazi, na kuchunga haki za mume na mke.

Download
Tuma maoni kuhusu ukurasa huu kwa msimamizi

Utunzi wa kielimu: