عرض المواد باللغة الأصلية

أعلام وشخصيات

عدد العناصر: 139

  • سواحيلي

    مؤلف, مُراجع, عدد العناصر : 324

    Abu Ameenah Bilal Philips alizaliwa katika Jamaica,Na kukulia katika Canada ambapo yeye alitangaza uongofu wake kwa Uislamu mwaka 1972.Alikamilisha Stashahada kutoka Kitivo cha Kiarabu workouts Kiislamu katika Chuo Kikuu cha Kiislamu Madina almunawara mwaka 1979.Na alikamilisha shahada ya bwana katika dini kutoka Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Riyadh, Chuo cha Elimu mwaka 1985.Katika masomo ya Kiislamu Idara katika Chuo Kikuu cha Wallis,Kukamilika udaktari katika misingi ya Kiislamu mwaka 1994. Mwaka 1994, Dk Bilal alianzisha Kituo cha Habari cha Kiislamu katika mji wa Dubai,katika Falme za Kiarabu, na sasa kinajulikana Discover Islam. Kama alivyo anzisha kitengo cha fasihi ya kigeni katika House press Sharjah Islamic conquest.

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 115

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 14

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 4

  • سواحيلي

    مؤلف, قارئ, عدد العناصر : 28

    Fares Abbad: Msomaji hodari kwa sauti nzuri, na ni wa asili ya Yemen, karekodi mada ya matini za kielimu kwa sauti ukiongezea Koran kamili, na ni Imam msaidizi katika Msikiti wa Aly bin Abi Twalib katika mji wa Doha katika ukanda wa mashariki Saudi Arabia kanda.

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 2

    Msomaji wa asili wa Yemen, naye ni imamu na khatwibu wa msikiti wa Khalid bin Walid Al-Rayyan, Qatar.

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 47

    Ghazi bin Ali Sultan Dagestani Amehitimu masomo yake ya Chuo Kikuu cha Kiislamu Madina

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 2

    Sheikh Hamza Rajabu Seyfu ni mmoja katika walinganiaji wa mji wa Mwanza nchini Tanzania kamaliza chuo kikuu nchini Saudi arabia kitengo cha Sheria (Usuluddin) ni Imamu na khatwibu katika masjid Taqwa jijini Mwanza yupo katika manhadi ya salafu sswaleh.

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 6

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 42

    Shekh Hashim Rusaganya: Amehitimu masomo yake katika Chuo kikuu cha kiislamu Madina Nchini Saudi Arabia. Kwa sasa ni katika walinganiaji wakubwa Nchini Tanzania, na ni muongozaji wa Mahujaji wakati wa Hijja.

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 23

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 5

    Shekh Hilal Shaweji Kipozeo: Ni mlinganiaji maarufu katika nchi ya Tanzania, pia ni mtoa Darsa katika misikiti mbalimbali jijini Dar Es Salaam.

  • سواحيلي

    مؤلف, قارئ, عدد العناصر : 91

    Imamu na khatwibu wa Msikiti wa Mtume (s.a.w).

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 9

    Shekh Husseni Saidi Sembe: Ni mlinganiaji katika mkoa wa Kilimanjaro, na ni Imamu na Khatib katia Msikiti wa Answari Moshi Tanzania.

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 159

    Ibn Qayyim Abu Abdullah al-Shams al-Din Muhammad bin Abi Bakr ibn Ayyub bin Saad bin Hariiz bin Makki Zainuddin kisha Kisha nimtu kutoka Damascus na anafuata Madhehebu ya Hanbali, anajulikana kwa jina la Ibn Qayyim Al-Jawziyya, Kazaliwa siku ya saba ya mwezi wa Safar Mwaka 691 H. Na alifariki usiku wa Alkhamisi 13/7/751 Mwenyezi Mungu amrehemu.

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 56

    Nimhitimu wa Kitivo cha Sharia,na anajihusisha na kufanya daawa kwanjia ya mitandao kwa njia ya mazungumzo na tovuti tofauti,ameanzisha tovuti nyingi za kiislam,ikiwemo : http://www.islam-guide.com na http://www.islamreligion.com,na nimwandaaji na mkusanyaji mashuhuri wa kitabu: "Mwongozo ulio fupishwa kwaajili ya kuufahamu uislam".Ambacho kimetafsiriwa kwa lugha zaidi ya 45 na kuchapishwa kwake mamilioni.

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 1

    Amezaliwa Libanon 1966,na amepata Na ana shahada ya udaktari(PHD)katika lugha ya kiarabu,na alipata shahada ya diploma yajuu,nastashahada katika masomo ya Kiislamu (masomo utaalamu)

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 1

    Imad Zuhair Abdulqadir Hafidh: Amezaliwa katika mji wa Madina mwaka 1382 Hijiria, akapata elimu ya udokta katika chuo kikuu cha kiislam Madina mwaka 1412 Hijiria, alikua Imamu na khatwib katika Msikiti mkuu wa Manaratayn, na Msikiti wa Qubah, na alikua Rais katika jumuiya ya kuhifadhi Qur'an tukufu katika mji wa Madina.

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 2

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 1