Hasan Muhammad Swalih: Ni msomaji Mmisri amezaliwa sehem iitwayo Mahmudiyyah katika mji wa Buheyrah, amehitimu masomo katika Maahad, na akasoma elimu ya visomo kumi, na akajiunga na kitivo cha elimu ya Qur'an, nae ni Imamu katika Markaz ya kiislam katika mji wa New York
Shekh Abdul Aziz bin Abdullah bin Baaz Mufti wa Ufalme wa Saudi Arabia, na nimkuu wa wanachuoni waandamizi,saudi arabia,alizaliwa 12/1330 H Riyadh,na amefariki alkhamisi 27/1/1420 H,na tovuti ya shekh ni: www.binbaz.org.sa
Msomaji Abdul Razak bin Abtan Dulaimi: msomaji wa asili ya Iraq, kajitahidi katika utekelezaji wa usomaji wa Quran tukufu, na amesajili nakala kadhaa za Qur'ani.
Abdurahmani bin Abdallah Al-Suhaym kazaliwa katika kijiji cha Basra katika mji wa Burayda Qswim, amehitimu katika Imamu muhamad bin saud islamic University, anafanya kazi ya Daawa chini ya wizara ya mambo ya kiislam na Daawa. (The Ministry of Islamic Affairs, Endowments, Call and Guidance).
Shekh Abdurahmani Muhina: Kasoma katika Chuo kikuu cha kiislamu cha Imamu Muhammad Bin Soud Nchini Saudi Arabia. Na ni mlinganiaji kupitia chanel ya Tv Imani na Tv Afrika.