• Kiswahili

  Mtunzi, Idadi ya Vipengele : 2

  Hasan Muhammad Swalih: Ni msomaji Mmisri amezaliwa sehem iitwayo Mahmudiyyah katika mji wa Buheyrah, amehitimu masomo katika Maahad, na akasoma elimu ya visomo kumi, na akajiunga na kitivo cha elimu ya Qur'an, nae ni Imamu katika Markaz ya kiislam katika mji wa New York

 • Mtunzi, Mwenye kufanya Marejeleo, Idadi ya Vipengele : 83

  Idara ya Utafiti wa kielimu katika Chuo Kikuu cha Kiislamu Madiana Almunawarah

 • Mkarimani, Idadi ya Vipengele : 1

 • Mtunzi, Idadi ya Vipengele : 32

  Ana juhudi zake katika utafiti wa mafundisho ya itikadi za kishia

 • Mtunzi, Mwenye kufanya Marejeleo, Idadi ya Vipengele : 1668

  Shekh Abdul Aziz bin Abdullah bin Baaz Mufti wa Ufalme wa Saudi Arabia, na nimkuu wa wanachuoni waandamizi,saudi arabia,alizaliwa 12/1330 H Riyadh,na amefariki alkhamisi 27/1/1420 H,na tovuti ya shekh ni: www.binbaz.org.sa

 • Mtunzi, Msomaji, Idadi ya Vipengele : 80

  Imamu wa Msikiti wa Mtume (s.a.w)

 • Msomaji, Mtunzi, Idadi ya Vipengele : 29

 • Mwenye kufanya Marejeleo, Mtunzi, Msomaji, Idadi ya Vipengele : 177

  Imamu wa Msikiti wa Mtume Mtukufu

 • Mtunzi, Msomaji, Idadi ya Vipengele : 156

  Imamu na khatwibu wa Muskiti mtakatifu. .

 • Mtunzi, Mwenye kufanya Marejeleo, Idadi ya Vipengele : 274

  Ni shekh Abdul Rahman bin Abdul Karim Sheihah Alizaliwa katika mji wa Riyadh, Saudi Arabia mwaka 1958.Kiwango chake cha elimu:Elimu ya kati na sekondari kasoma katika Taasisi ya elimu kwa elimu za sheria na kiarabu Riyadh. • ana shahada ya chuo kikuu katika lugha ya Kiarabu na fasihi mwaka 1982.Yeye ana shahada ya bwana katika masomo ya Kiislamu katika 2004.Yeye ana shahada ya udaktari katika utamaduni wa Kiislamu mwaka 2009.

 • Mtunzi, Mwenye kufanya Marejeleo, Idadi ya Vipengele : 327

 • Mtunzi, Idadi ya Vipengele : 3

  Msomaji Abdul Razak bin Abtan Dulaimi: msomaji wa asili ya Iraq, kajitahidi katika utekelezaji wa usomaji wa Quran tukufu, na amesajili nakala kadhaa za Qur'ani.

 • Mtunzi, Msomaji, Idadi ya Vipengele : 6

 • Mtunzi, Idadi ya Vipengele : 1

  Msomaji wa nchi ya Kuwait.

 • Mtunzi, Idadi ya Vipengele : 4

  Abdullah Abdul Ghani Al-Khayyat - Mungu amrehem - imam na khatwibu wa Msikiti wa Makkah hapo awali.

 • Mtunzi, Msomaji, Idadi ya Vipengele : 35

  Imamu wa Msikiti wa Makkah

 • Mtunzi, Idadi ya Vipengele : 6

 • Mtunzi, Idadi ya Vipengele : 202

 • Mtunzi, Idadi ya Vipengele : 5

  Abdurahmani bin Abdallah Al-Suhaym kazaliwa katika kijiji cha Basra katika mji wa Burayda Qswim, amehitimu katika Imamu muhamad bin saud islamic University, anafanya kazi ya Daawa chini ya wizara ya mambo ya kiislam na Daawa. (The Ministry of Islamic Affairs, Endowments, Call and Guidance).

 • Abdurahmani Muhina Kiswahili

  Mtunzi, Idadi ya Vipengele : 15

  Shekh Abdurahmani Muhina: Kasoma katika Chuo kikuu cha kiislamu cha Imamu Muhammad Bin Soud Nchini Saudi Arabia. Na ni mlinganiaji kupitia chanel ya Tv Imani na Tv Afrika.

Ukurasa : 8 - Kutoka : 1
Maoni yako muhimu kwetu