• Kiswahili

    Mwenye kufanya Marejeleo, Mtunzi, Idadi ya Vipengele : 194

  • Kiswahili

    Mtunzi, Mwenye kufanya Marejeleo, Mkarimani, Idadi ya Vipengele : 1327

    Shekh Abubakari Shabani Rukonkwa: Ni mwanafunzi katika Chuo kikuu cha kiislamu cha Imamu Muhammad Bin Soud Nchini Saudi Arabia. Na ni msimamizi wa lugha ya kiswahili katika tovuti ya IslamHouse.com, pia ni mlinganiaji katika chanel ya TV Africa na ni Khatwibu katika misikiti ya Answar Tanga Tanzania.

  • Kiswahili

    Mtunzi, Idadi ya Vipengele : 8

    Mtafiti katika jumuiya ya Mabarh AL-AL & Sahaba Kuwaiti

  • Kiswahili

    Mtunzi, Idadi ya Vipengele : 1

    Shekh Abuu Anasi Bwaluka ni katika walinganiaji wa Ahlusuna waljamaa katika nchi ya Tanzania na nikhatwibu katika msikiti wa Answari Kilimanjaro moshi Tanzania.

  • Kiswahili

    Mtunzi, Mwenye kufanya Marejeleo, Idadi ya Vipengele : 20

  • Kiswahili

    Mtunzi, Idadi ya Vipengele : 1

    Shekh Abuu Hashim Abdulqaadir amesoma katika chuo kikuu cha kiislam Madina na nimwalimu katika markazi Tawhiid na Madrasatul Al-Munawara Mombasa Kenya na nikhateibu katika masjid mula Mombasa Kenya.

  • Kiswahili

    Mtunzi, Mwenye kufanya Marejeleo, Idadi ya Vipengele : 48

    ABUU KARIIM ALMARAKISHY Nimtafiti katika kulinganisha usahihi wa dini

  • Kiswahili

    Mtunzi, Idadi ya Vipengele : 1

    Shekh Abuu Musa Abubakari Musa Kiza amehitimu masomo katika chuo cha Maahad Kisauni Mombasa Kenya nanikatika walinganiaji katika mkoa wa Tabora na nirais katika kituo cha kislam Kaloleni Tabora.

  • Kiswahili

    Mtunzi, Idadi ya Vipengele : 6

    Shekh Ahmad Al Zahran: Ni Muhadhir katika Chuo kikuu cha kiislamu cha Imamu Muhammad Bin Soud Nchini Saudi Arabia. Pia ni mkuu wa Da’awa katika taasisi ya World Assembly of Muslim Youth (WAMY) kwa nchi ya Tanzania, na anafanya kazi katika maktaba ya Jariyat Badia, Rayadh Saudi Arabia.

  • Kiswahili

    Mtunzi, Idadi ya Vipengele : 160

    Shaykh Al-Islam Ibn Taymiyyah Mungu Amrehemu: Ahmad Taqiy Al-Din Abu Al-Abbas Bin Abdul Halim Bin Abdul Salam Bin Abdullah Bin Abu Al-Qasim Alkhadhwar Bin Mohammed Bin Khadhwar Bin Ali Bin Abdullah Ibn Taymiyyah Al Harrany. Wametaja wanachuoni wa Tarjama Qauli tofauti katika sababu ya ya kuitwa familia yake kwa jina la (Al Taymiyyah), miongoni mwa Qauli zao, niqauli ya Ibn Abdul Hadiy Allah amrehemu: (Babu yake Muhammad mama yake alikuwa anaitwa Timiyyah), na alikuwa nimtoa Mawaidha akanasibishwa na Taymiyyah.na Inasemekana : Hakika babu yake Muhammad Bin Khadwar alifanya Hajji akaona mtoto kwa mbali, alipo rudi alimkuta mke wake amejifunguwa mtoto wa kike akasema :Ewe Taymiyyah ewe Taymniyyah,Akaitwa hivyo.

  • Kiswahili

    Mtunzi, Idadi ya Vipengele : 1

    yeye ni , Ahmed bin Mohammed bin Abdullah bin Moaidh Al-hawash imam na khatwibu wa Msikiti katika mji wa Khamis mshetw ya kusini mwa Saudi Arabia, alizaliwa katika mji wa Uhudi Rafidah mwaka 1374 AH.

  • Kiswahili

    Mtunzi, Idadi ya Vipengele : 1

    Shekh Al-Amin Ally Rajab amehitimu masomo katika chuo cha Maahad kisauni mombasa enya, na nimlinganiaji kenya na ni khatwibu katika msikiti wa Yusuf tudor Mombasa Kenya.

  • Kiswahili

    Mtunzi, Msomaji, Mwenye kufanya Marejeleo, Idadi ya Vipengele : 214

    Imamu na khatwibu wa Msikiti wa Mtume (s.a.w).

  • Kiswahili

    Mtunzi, Idadi ya Vipengele : 1

    Shekh Ally Zuberi: Amemaliza masomo yake kitengo cha Hadith katika Chuo kikuu cha kiislamu Madina nchini Saudi Arabia. Kwa sasa ni mlinganiaji katika Mkoa wa Tanga na ni khatwib katika Msikiti wa Darul Uluum, pia ni Mudiri wa chuo cha Darul Uluum Tanga Tanzania.-

  • Kiswahili

    Mtunzi, Msomaji, Idadi ya Vipengele : 16

  • Kiswahili

    Mtunzi, Idadi ya Vipengele : 4

    Shekh Ally Bahero: Ni miongoni mwa walinganiaji wakubwa Nchini Kenya, pia ni mwalim na ni Khatib Masjid Rahma, Bakarani Mombasa.

  • Kiswahili

    Mtunzi, Idadi ya Vipengele : 11

    Abuu Khalifah Aly bin muhammad Al Qudhwayby,alikuwa katika itikida ya shia,akabadirika akawa katika itikadi sahihi ya sunna,shukurani zote niza Allah.

  • Kiswahili

    Mtunzi, Idadi ya Vipengele : 1

    Arafat Magmoud amesoma katika chuo cha Kisauni College akapata Degree katika masomo ya kiislam, ni khatwibu katika kituo cha Ibn Taymiya na nimlinganiaji katika visiwa vya Zanziba.

  • Kiswahili

    Mtunzi, Idadi ya Vipengele : 3

  • Kiswahili

    Mtunzi, Idadi ya Vipengele : 1