عرض المواد باللغة الأصلية

أعلام وشخصيات

عدد العناصر: 139

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 1

    Shirzad Bin Abdul Rahman Bin Twaher Bin Hasan: Amezaliwa mwaka 1968 kaskazini mwa Iraq, amesoma kwa Mashekh mbalimbali wa Iraq miongoni mwao ni Shekh Abdullatwif Bin Khalil Aswufy, na Shekh Alhafidh Ally Bin Hasan Alwaswaby, na Shekh Alhafidh Almuqry Abdul Razaq Muhammad Umaarah, na alikua Imamu katika Misikiti mingi katika Nchi ya Iraq, Yemen na Imarat.

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 27

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 2

    Swaleh Al-Zahran amemaliza masomo katika chuo cha Imamu muhamad bi saud University na ana juhudi za Daawa africa mashariki.

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 10

  • سواحيلي

    مترجم, مؤلف, عدد العناصر : 2

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 1

    Msomaji wa Morocco.

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 27

    Shekh Twaha Sulaiman Bane: Amehitimu masomo yake kitengo cha sheria katika Chuo kikuu cha kiislamu Madina Nchini Saudi Arabia. Ni mlinganiaji na ni Mudir katika Markaz ya Alharamayn, Dar es Salaam Tanzania.

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 1

    Kazaliwa Libya, kachukua nafasi ya pili kwenye mashindano ya kila mwaka ya Qur'ani Tukufu unaofanyika kwanye Emirate (Dubai).

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 1

    Shekh Yahya Ahmed Alhalily: Amezaliwa katika kijiji cha Alhalilah katika mji wa Swana'a Yemen mwaka 1952, alijiunga na Halaqa ya kuhifadhi Qur'an tukufu katika Msikiti Mkuu wa Swana'a na akakamilisha kuhifadhi Qur'an tukufu mwaka 1962, kisha akasoma elimu ya visomo saba kwa wanachuoni tofauti mwaka 1973, na alifanya kazi ya kufundisha Qur'an tkufu tangu mwaka 1970, pia alikua Imamu na khatwib katika Msikiti mkuu wa Tahrir katika mji wa Swana'a Yemen.

  • سواحيلي

    مؤلف, مترجم, مُراجع, عدد العناصر : 361

    Sheikh Yasini Twaha Hassani Mwenyeji wa Kigoma nchini Tanzania Mlinganiaji wa Dini ya Kiislam kasoma chuo kikuu nchini Saudi arabia (Riyadh) Elimu ya Sheria kitengo cha (usuluddin) pia nimfasiri wa vitabu vya kiarabu kwa lugha ya kiswahili, na muhadhiri katika TV Afrika swahili, na Imamu na khatwibu wa masjid Answar sunna Mwanga Kigoma mjini nchini Tanzania.

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 1

    Msomaji wa Misri, naye ni imam na khatwibu wa msikiti wa Mujamma'a Dubai Uwekezaji.

  • سواحيلي

    مؤلف, قارئ, عدد العناصر : 3

    Imam wa Msikiti wa Dakhil Mtaa wa Ghar-natwa mji wa Riyadh.

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 3

  • سواحيلي

    مُراجع, مؤلف, مترجم, عدد العناصر : 252

    Shekh Yunus Kanuni Ngenda: Ni mwanafunzi katika Chuo kikuu cha kiislamu cha Imamu Muhammad Bin Soud Nchini Saudi Arabia. Na ni mhakiki wa lugha ya kiswahili katika tovuti ya IslamHouse.com, pia ni Imamu na Khatwib Masjid Rahman, Mbezi Beach Dar Es Salaam Tanzania.

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 1

    Kiongozi wa Taasisi ya Elimu Saudi ya Qur'an Tukufu na Sayansi yake, na imamu wa msikiti wa Amiri: Abdullah bin Mohammed - Atiiq - Riyadh .

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 13

    Shekh Yusuf Abdi: Ni mlinganiaji kupitia chanel ya Tv Afrika na ni khatwib katika misikiti mbalimbali mjini Mombasa nchini Kenya.-

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 12

    Sheikh: Zaidi Bashiri ni mmoja katika walinganiaji wa kisunna mwenyeji wa Mombasa Kenya pia ni mwanafunzi wa Sheikh: Abdallah Al-farisi Mfasiri wa Qur’ani tukufu kwa lugha ya kiswahili, nimtowaji wa mawaidha kwanjia ya Ahlu sunna wal-jamaa.

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 1

    Alizaliwa Julai 1982 katika kijiji cha Binyati Omarwabh eneo katika North Kordofan State, Sudan, ambaye ana shahada ya kutoka kwa msomaji Sheikh wa Al-Azhar Septemba 2009.

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 14

    Shekh Zuberi Athumani: Amemaliza masomo yake katika kitengo cha sheria katik Chuo kikuu cha kiislamu cha Imamu Muhammad Bin Soud Nchini Saudi Arabia. Na ni mlinganiaji maarufu nchini Burundi, pia ni khatwib katika Msikiti wa barabara ya saba Bujumbura Burundi.-