Sampuli Za Maudhi

Maelezo

1- Mada hii inazungumzia: makatazo ya kuudhiana waislam na kwamba wanao muudhi Allah na Mtume wake (s.a.w) wana laana kubwa, pia imezungumzia aina mbili za maudhi ambayo ni maudhi ya maneno na vitendo.
2- Mada hii inazungumzia: Hatari ya madhambi na maudhi ya kusengenya na kwamba hao ndio wanaokula nyama za watu, pia imezungumzia maudhi ya vitendo kama vile kumuudhi jirani kwa kutumia vyombo vya kileo na kutia uchafu katika katika njia.

Download
Tuma maoni kuhusu ukurasa huu kwa msimamizi