Adabu Za Kula Chakula

Maelezo

• Mada hii inazunguzia Sunna Adabu za chakula na tofauti zao katika kupata rizki na hukumu za bismilahi katika kula.
• Mada hii inazunguzia Adabu za kula na hukumu ya kudhihirisha bismilahi,na hukumu ya kuacha bismilahi.
• Mada hii inazunguzia Adabu za kula chakula na hukumu ya kulamba chakula na ubora wake.
• Mada hii inazunguzia Adabu za chakula,makatazo zakula chakula cha moto,na kupuliza chakula,nakukitia aibu chakula,nakula kwa mkono wa kulia.

Download
Tuma maoni kuhusu ukurasa huu kwa msimamizi