Zama Za Fitna Na Jinsi Ya Kujiepusha

Maelezo

• Mada hii inazungumzia zama za fitna najinsi yakujitoa katika fitna,namambo aliyo tabiri Mtume s.a.w, ktk zama za mwisho.
• Mada hii inazungumzia zama za fitna najinsi yakujiepusha na fitna,na ubaya wa fitna na shubuhati
• Mada hii inazungumzia zama za fitna najinsi yakujiepusha na fitna,na Ubora Wa Subra Katika zama za fitna,na hasara ya kufanya mambo kwa jazba
• Mada hii inazungumzia zama za fitna najinsi yakujiepusha na fitna,na aina za utawala baada ya Mtume s.a.w, na ujumbe aliouacha Mtume s.a.w kuhusu utawala baada yake.

Maoni yako muhimu kwetu