Maana Ya Ushia Na Chanzo Chake

Maelezo

1- Mada hii inazungumzia: Maana ya neno "Shia" kilugha na kisheria, na namna lilivyotajwa katika Qur’an Tukufu.
2- Mada hii inazungumzia: Ni nani Shia kwa mujibu wa wanachuoni wao, na kwamba ili uwe Shia lazima ukatae Uimamu wa Abubakar, Omar na Othmani (R.a).
3- Mada hii inazungumzia: Kujitokeza kwa Abdillahi Bin Sabaa mwishoni mwa utawala wa Othman Bin Affan (R.a), akaanzisha fitina kubwa ya kudai Utume na kudai kwamba Khalifa Ally Bin Abi Twalib ni Mungu
4- Mada hii inazungumzia: Kujitokeza kwa Abdillahi Bin Sabaa mwishoni mwa utawala wa Othman Bin Affan (R.a), akaanzisha fitina kubwa ya kudai Utume na kudai kwamba Khalifa Ally Bin Abi Twalib ni Mungu
5- Mada hii inazungumzia: Mashia wanadai kua Ukhalifa ni cheo kama Utume, pia inazungumzia kuwa vipi Mashia wanawakufurisha Abubakar na Omar (R.s) wakati Ally Bin Abi Twalib (R.a) kamuozesha Omar (R.a) binti yake Ummu Kuluthum?.

Download
Tuma maoni kuhusu ukurasa huu kwa msimamizi

Utunzi wa kielimu: