Hatari Ya Kuwaasi Wazazi Wawili

Maelezo

Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kuwafanyia wema wazazi wawili na hatari ya kuwaasi, pia ubora wa mke mwenye kuwapenda wazazi wa mumewe, na imezungumzia kisa cha mtu aliyemchinja mzazi wake baada ya muda na yeye akachinjwa na mwanae.

Maoni yako muhimu kwetu