Utunzi wa kielimu

معلومات المواد باللغة العربية

Ubora wa kuunga udugu na kuwafanyia wema wazazi

Malafu ya kuwafanyia wema wazazi na kuunga udugu: kuwafanyia wema wazazi nikatika matendo bora bada ya kumuamini Mwenyezi Mungu Mtukufu, na katika sheria kuna aya na hadithi zinazo himiza hayo na ubora wake, na katika visa vya wema walio tangulia kuna mifano mingi sana ya kuwafanyia wema wazazi, katika kurasa hizi kuna mada zinazo onyesha daraja ya kuwafanyia wema wazazi na kuunga udugu.

Idadi ya Vipengele: 10

Ukurasa : 1 - Kutoka : 1