Utunzi wa kielimu

 • PDF

  ---------

 • video-shot

  Umuhimu wa Dini Kingereza

  MP4

  Kazungumzia Sheikh Yusuf Istis katika video hii umuhimu wa Dini na akabainisha umuhimu wake kwa jamii na mtu mmoja mmoja, hakika ya dini kwa mwanadamu ni kama maji kwenye ardhi, yatapo kuwa maji ndiyo uhai wa ardhi basi dini kwa mwanadamu ndio uhai halisi.

 • PDF

  Uislamu ndiyo dini pekee aliyo iridhia Mwenyezi Mungu kwa viumbe wote, na hakubali dini tofauti na hiyo, ndiyo dini inayo weza kuondowa matatizo tunayo ishinayo kwa sasa, kuyafanyia kazi mafundisho yake yanatosha kuleta amani ya milele, Kitabu hiki kinaelezea Ujumbe wa Uislamu wa milele na misingi yake na chimbuko lake, kwa kutolea mifano kwenye nguzo za Uislamu na Imani, na kubainisha mazuri ya Uislamu na hukumu zake, uchumi wake, siasa zake, mwenendo na haki za binadamu katika Uislamu.

 • PDF

  Makala inayo zungumzia maana ya Uislamu na misingi ya itikadi ya kumuamini Mwenyezi Mungu na Mtume wake na kuamini siku ya mwisho, kwa ufupi kinawafaa wasiokuwa waislamu.

 • Ujumbe wa Uislamu Kifaransa

  MP3

  Kitabu hiki kwa njia ya audio kinaweka wazi itikadi sahihi ya Uislamu ambayo Mitume (s.a.w), wote wameilingania, na kuwabainishia wasiokua waislamu namna ya kuingia katika Uislamu.

 • PDF

  Ujumbe wa Muhammad: Kuna mada (8) kuhusu Historia ya Mtume Muhammad (s.a.w)...

 • Ni nini Ujumbe? Kingereza

  MP3

  Kubainisha maana halisi ya Uislamu: Uislamu ni unyenyekevu na kutii yote aliyo kujanayo Mtume (s.a.w).

 • MP3

  Muhadhara wa audio unazungumzia Ujumbe wa Uislamu na misingi yake na haja ya mwanadamu ili aishi ktk jamii yenye amani na nzuri.

Ukurasa : 1 - Kutoka : 1
Maoni yako muhimu kwetu