Utunzi wa kielimu

معلومات المواد باللغة العربية

Ubora wa mwezi mtukufu wa Ramadhani

Malafu haya yanabainisha Ubora wa mwezi mtukufu wa Ramadhani na yanayo fungamana nayo, pakiwemo malafu yafuatayo: Ubora wa mwezi mtukufu wa Ramadhani na yanayo ambatana nayo, funga, kuuona mwezi na kufunga siku ya shaka, itikafu, usiku wa lailatulqadri, na kumi la mwisho, swala za sunna na swala ya tarawehe, zakatulfitri, na yepi yakufanya baada ya ramadhani?

Idadi ya Vipengele: 16

Ukurasa : 1 - Kutoka : 1
Maoni yako muhimu kwetu