Utunzi wa kielimu

Siasa ya kisheria

Siasa ya kisheria ni jambo muhimu sana kabisa katika uongozi yatakiwa kiongozi asomee siasa ya kisheria ajuwe namna ya kuwaongoza watu katika njia ilio kuwa sahihi.

Idadi ya Vipengele: 10

 • Bosnian

  PDF

  Anazungumzia mtunzi wa makala hii kuhusu mada muhimu sana kwa kujenga jamii ya kiislamu na kuinyanyua.

 • Kiarabu

  MP3

  Hakika kuhakikisha amani ni katika mambo yaliyokuja na sheria ya Uislamu, na nikatika neema kubwa za Mwenyezi Mungu juu ya viumbe wake, apate amani Muislamu juu ya dini yake, amuabudu Mola wake kwa amani na utulivu, na awe na amani katika nafsi yake na mali zake na heshima yake, na yote hupatikana katika kubainisha sababu zake.

 • Kiarabu

  MP3

  Athari ya tauhidi katika kuleta amani: mkutano ulio fanyika katika muskiti mkubwa riyadh kazungumzia sheikh kuhusu amani duniani na akhera, na kwamba tauhidi na kuwa mbali na yanayo pingana nayo ndio sababu kubwa yakupatikana amani duniani na akhera, na kiwango cha tauhidi ya mja ndivyo atavyo pata amani na uongofu.

 • Kiarabu

  PDF

  Neema ya amani chini ya kivuli cha tauhidi ya Mwenyezi Mungu: Kazungumzia sheikh Swaleh bin Muhammad Ali-twalib -Allah amuhifadhi- khutba ya siku ya ijumaa katika muskiti wa makkah tarehe 20-04-1432. kaelezea amani na usalama ulio neemeshwa mji wa makkah na madina, na akawahimiza waislamu wahifadhi neema hiyo na kuto acha mwanya kwa maadui wa kiislamu kuvuruga amani, na akatoa usio kwa waislamu wote kushikamana na kitabu cha Allah na sunna za mtume (s.a.w), na mwenendo wa wanachuoni na wenye elimu, kufanya hivyo ndio sababu ya kufaulu duniani na akhera.

 • Kingereza

  DOC

  Makala hii yazungumzia kuhusu Amani na Salamu katika Uislamu.

 • Kiarabu

  PDF

  Amani ktk maisha ya watu: Mda hii inavipengele vitano na hitimisho. 1: Amani ktk Qur-an na sunna. 2: Maana ya Amani ktk jamii ya Kiislamu. 3: Sheria kufanya kazi na Amani kwa ujumla. 4: Kumpa Amani asie Muislamu ktk Nchi za Kiislamu. 5: Amani ktk Nchi ya Saudi arabia. Hitimisho: Mambo muhimu yanayo sababisha Amani ktk jamii ya Kiislamu.

 • Kiswahili

  MP3

  Mada hii inazungumzia uongozi katika uislam,na umuhimu wa uongozi,na matatizo ya misikitini na tasisi za kislam,na dalili ambazo zimekuja kuzungumzia uongozi,mifano hai ya uongozi na umuhimu wake

 • Kiarabu

  MP3

  Hakika amani ni miongoni mwa neema kubwa kutoka kwa Mwenyezi Mungu juu ya waja wake, na kuijenga ardhi, hasasaha mji wa makkah na madina, miji ambayo yatakiwa amani ndani yake hata mti unapewa amani, ambae anavunja amani ni muovu, gaidi, na sababu kubwa kapata elimu kwa njia isiyokuwa sahihi na kwa watu wasiyo julikana, na kutofahamu makusudio ya sheria.

 • German

  PDF

  Salamu na Amani: Katika risala hii kuna ubainifu namna Uislamu unavyo pongeza amani kati ya Aliye umba na aliye umbwa, na baina ya viumbe katiyao, na ukaweka misingi madhubuti ktk kuhifadhi amani ktk jamii...

 • Kiswahili

  MP3

  Mada hii inazungumzia: Kauli za wanachuoni kuhusu watawala ambao ni makafiri, na hukumu ya Mwanamke kuolewa na mtu wa bid’a.

Ukurasa : 1 - Kutoka : 1
Maoni yako muhimu kwetu