Utunzi wa kielimu

معلومات المواد باللغة العربية

Ubora wa maswahaba

Miongoni mwa itikadi ya Ahlusunna wal jamaa ni kuwapenda maswahaba wa nabii Muhammad (s.a.w), na kukiri ubora wao wakiwemo walio toka makkah na wale walio kuwepo madina na wale walio kuja baada yao, na katika kurasa hizi kuna mada mabali mbali kwa lugha tofauti tofauti zikielezea ubora wa maswahaba na sifa zao na msimamo wetu juu ya wanao watukana au kuwachukia.

Idadi ya Vipengele: 6

Ukurasa : 1 - Kutoka : 1