Utunzi wa kielimu

 • Yoruba

  PDF

  Uislamu na Upanga: kinazungumzia kipengele hiki namna uislamu ulivyo enea duniani, na namna mamilioni ya watu walivyo ukubali kwa nyoyo zao, na majibishano yenye kukinaisha kwenye akili zao kuhusu ulimwengu na aliye Umba, na kuhusu dini na manabii, na siyo kama wanavyosema maaduwi ya kwamba uislamu umeeneya kwa upanga, na mifano kutoka kwa watu maarufu duniani waliyo ingia dini kwa uhuru kabisa na kukinai na kuufahamu uislamu sahihi.

 • German

  PDF

  Haya ni maswali yanayo ulizwa sana kuhusu Uislamu na viambatanisho vyake kwa baadhi ya mambo mfano Masihi na haki za binaadamu na mengineyo.

 • Terugu

  PDF

  Makala imefanyiwa tarjama kwa lugha ya Talhu kuhusu majibu (7) yanayo enea kuhusu Uislamu.

 • Romanian

  PDF

  Kitabu kwa lugha ya Roma kinaelezea maswali (40) kuhusu Uislamu, na maana ya Uislamu kwa ufupi.

 • Kingereza

  PDF

  Kitabu kwa lugha ya Kingereza kikielezea Maswali (40) kuhusu Uislamu, kutokana na utata kuhusu Uislamu.

 • German

  PDF

  kitabu hiki vyaelezea maswali (25) kuhusu uislamu maswali yanayo kariri kariri kila siku. na asili ya kitabu hiki ni kitabu cha kingereza kimebadilishwa badhi yavitu kwenda sambamba na nchi ya Almania.

 • Kireno

  PDF

  Majibu (7) kuhusu Uislamu: Makala inajibu maswali (7) yanayo wasumbuwa wasiokuwa Waislamu.

 • Spanish

  PDF

  Ufahamu wa kimakosa kuhusu Uislamu: Kipeperushi kinazungumzia Usahihi wa Ufahamu wa kimakosa kuhusu Uislamu.

 • German

  PDF

  Maswali saba yaliyo enea kuhusu Uislamu: Makala iliyo kusanya majibu saba yaliyo enea kwenye ndimi za wasio kuwa Waislamu, nayo: 1- Ni nini Uislamu? 2- Waislamu ni watu gani? 3- Mungu ni nani? 4- Muhammad ni nani? 5- Ni yepi mafundisho ya Uislamu? 6- Qur-ani ni nini? 7- Kuhusu kufufuliwa na siku ya mwisho.

 • Kingereza

  PDF

  Makala hii inatukumbusha kuhusu ufahamu wa kimakosa ktk Uislamu na Waislamu.

 • Kireno

  PDF

  Hutba ya Ijumaa iliyo wazi kwa kumaliza Shubha juu ya kuenea Uslamu kwa njia ya Upanga

 • Uzbek

  Makala hii yazungumzia ya kwamba silaha haikuwa ikitumika katika kuwalingania watu kuingia kwenye dini kila wakati.

 • Kiswahili

  MP3

  Mada hii inazungumzia: Mbinu wanazozitumia maadui wa Uislamu lengo ni kuuchafua uislam, lazima watu waisafishe dini ya Allah (S.w), imezungumzia pia ubaya wa kundi la khawarij na uharamu wa kuua au kumwaga damu bila haki.

 • Terugu

  PDF

  Makala imefanyiwa tarjama kwa lugha ya Talhu hujibu baadhi ya maswali yanayo enezwa kuhusu Uislamu.

 • Kingereza

  MP4

  Kwenye kipindi hiki kuna maswali mengi sana kuhusu utata unao zagazwa dhidi ya Uislamu kutoka kwa Makafiri na wakati mwengine kwa baadhi ya Waislamu.

 • Kingereza

  MP4

  Katika kipindi hiki ataelezea sheikh Eddie sababu zinazo pelekea wanawake wengi kuingia ktk Uislam kuliko wanamume, na namna walivyo pata uhuru wa kweli na amani ndani ya Uislamu.

 • Spanish

  PDF

  Makala kwa lugha ya Ispania inaelezea maneno ya kimakosa kwamba Uislamu umeenea kwa upanga, na kuwalazimisha watu kuingia kwa nguvu.

 • Kingereza

  PDF

  Makala kwa lugha ya kingereza inaelezea habari juu ya maneno yanayo enezwa kwamba Uislamu umeenea kwa upanga.

 • Yoruba

  PDF

  majibu ya maswali yanayo enea kwa wasiokuwa waisilamu kuhusu Uislamu: mkusanyiko wa maswali yanayoenea kwenye vichwa vya wasiokuwa waisilamu kuhusu Uislamu, yanajibiwa kwa uzuri sana kupitia Qur-an na Sunna kwa kubainisha uhakika wa dini hii, na kuondoa ufahamu mbovu.

 • German

  PDF

  Jee Uislamu umeenea kwa upanga?: Katika makala haya kuonyesha uvumi ulio enea kwa madai ya kwamba Uislamu umeenea kwa upanga, na kwamba watu wamelazimishwa kuingia katika Uislamu.

Ukurasa : 3 - Kutoka : 1
Maoni yako muhimu kwetu