Utunzi wa kielimu

معلومات المواد باللغة العربية

Jeneza

Mwanadamu ni roho na mwili, na kifo ni kutengana roho na huyo mwili, nahuu sio mwisho wa mwanadamu bali hiyo ni hatua kwa hatua kuelekea akhera, kisha atalipwa kutokana na mema yake, na sheria imeelezea mambo yanayo muhusu maiti ikiwemo: akiwa kwenye sakaratil mauti, kuoshwa, kusaliwa, kuzikwa, kwa urefu zaidi, na kuelezea hukumu za huzuni kwa maiti, na hapa tutaelezea hukumu zote hizo.

Idadi ya Vipengele: 16

Ukurasa : 1 - Kutoka : 1