Utunzi wa kielimu

Ibada

Malafu hii inakusanya yafuatayo: malafu ya nguzo za uislamu na fiqhi ya ibada, funga ya ramadhani, hijja na umra, hukumu za kujitwahirisha, hukumu za hedhi za nifasi, hukumu za swala, swala ya ijumaa na yanayo ambatana na swala hiyo, hukumu za swala ya sunna, hukumu za maiti, hukumu za zakka, kumi la mwanzo katika mwezi wa dhulhijja na kuchinja na hakika, na malafu ya viapo na kuweka nadhiri.

Idadi ya Vipengele: 385

Ukurasa : 20 - Kutoka : 1
Maoni yako muhimu kwetu