Hukumu Ya Mtu Asie Swali

Maelezo

Mada hii inazunguzia Hukumu ya mtu asie swali kabainisha Qauli mbili za wanachuoni kuhusu mtu asie swali, na ametaja dalili nyingi za ukafiri wa asie swali, na amebainisha kuwa swala ninguzo ya dini, asie swali ameivunja dini.
Mada hii inazunguzia Hukumu ya mtu asie swali, amebainisha hukumu ya mtu anae sahau swala zake, na mafikio yao siku ya Qiyama, na amebainisha umuhimu wa swala na swala ndio itakayo anza kuhesabika siku ya Qiyama.

Download
Tuma maoni kuhusu ukurasa huu kwa msimamizi

Utunzi wa kielimu: