Utunzi wa kielimu

 • Kiswahili
  video-shot

  YOUTUBE

  Mada hizi zinaongelea maswali muhimu katika maisha ya muislam kwa njia ya maandishi.

 • Kiswahili

  MP3

  Mhadhiri : Qasim Mafuta Kurejea : Yunus Kanuni Ngenda

  1- Mada hii inazungumzia: Maana ya Hijja kilugha na kisheria, na ni nguzo katika nguzo tano za uislam, pia imebainisha kwamba Hijja ni fardhi inatekelezwa mara moja katika umri. 2- Mada hii inazungumzia: Umuhimu kwa mwenye kuhiji kuwa na nia thabiti pamoja na kujikurubisha kwa Allah, pia imezungumzia mambo ya kujifunza katika ibada ya Hijja na tahadhari ya kuiga uzushi. 3- Mada hii inazungumzia: Hijja na Umra na fadhila zake pamoja na alama za mwenye kufanya Hijja ya kweli, pia imezungumzia kwamba Hijja ni fardhi kwa waislam wote wanaume na wanawake. 4- Mada hii inazungumzia: Aina za maandalizi ya Hijja na imefafanua kuhusu Hijja ya mtoto mdogo, pia imezungumzia umuhimu wa kuchunga utaratibu na makatazo baada ya Ihram. 5- Mada hii inazungumzia: Namna Mtume (s.a.w) alivyoruhusu kumuhijia mzazi asiyejiweza kutokana na uzee au ugonjwa, na kwamba inafaa mwanaume kumuhijia mwanamke na mwanamke kumuhijia mwanaume, pia mada hii ina maswali na majibu.

 • Kiswahili

  MP3

  Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kutekeleza ibada ya Hijja na kwamba ni miongoni mwa ibada bora na nguzo ya tano ya Uislam, pia imezungumzia yanayofanya Hijja iwe sahihi ikiwemo kujifunza utaratibu wa Hijja, ikhlasi na kufuata sunna za Mtume (s.a.w)

 • Kiswahili

  PDF

  Mada hii inazungumzia hatua zote anazopitia mtu mwenye kufanya Hjjah, na mwenye kufanya Umrah.

 • Kiswahili

  PDF

  Mada hii inaongelea makosa yanayofanywa na baadhi ya mahujaji, na usahihi wake.

 • Kiswahili

  PDF

  Makala hii inazungumzia hukumu za hija tangu alhaji kufika makkah mpaka anamaliza ibada ya hija.

 • Kiswahili
  video-shot

  MP4

  Hajj hatua kwa hatua.

 • Kiarabu
  video-shot

  MP4

  Katika kipindi hiki tunabainisha nguzo ya tano katika nguzo za Uislamu, nimlolongo katika vipindi vya sheikh Omar bin Abdallah Almuqbil- Allah amlipe kheri- kuhusu hijja na yanayo fungamana na hijja kuhusu hukumu mbalimbali na usio na muongozo, kwa toleo la wizara inayo shuhulikia mambo ya uislamu na ulinganiaji na maelekezo katika nchi ya saudi arabia mwaka 1434 هـ.

 • Kiswahili

  MP3

  The Manner Of Hajj And Umra

Ukurasa : 1 - Kutoka : 1
Maoni yako muhimu kwetu