معلومات المواد باللغة العربية

Idadi ya Vipengele: 6

  • Kiswahili

    YOUTUBE

    Mada hii Inaelezea kuhusu kuangalia njia nzuri ya athari kuacha Athari nzuri kama alivyo iacha Mtume s.a.w. na Maswahaba zake r.a.

  • Kiswahili

    MP3

    Mada hii inazungumzia: Namna uislamu ulivyo na hali mbaya kwa sasa kutokana na watu kuacha Sunna za Mtume (s.a.w), pia imefafanua maana ya kushahidilia ya kwamba Muhammad ni mjumbe wa Allah. Mada hii inazungumzia: Nini maana ya Utume, na kwamba Mitume wote (s.a.w) ni chaguo la Mwenyezi Mungu, pia imezungumzia historia fupi ya Mtume Muhammad (s.a.w). Mada hii inazungumzia: Misingi ya kushahidilia ya kwamba Muhammad ni Mjumbe wa Allah, na tofauti kati ya Mitume waliopita na Mtume Muhammad (s.a.w), pia imezungumzia itikadi mbovu waliyonayo Mashi’a. Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa mambo yanayovunja (shahada) kushahidilia ya kwamba Muhammad ni Mjumbe wa Allah, pia imezungumzia kwamba asiyemuamini Mtume Muhammad (s.a.w) ni kafiri na mafikio yake ni motoni. Mada hii inazungumzia: Wajibu wetu ni kumtii Mtume (s.a.w) na kumfuata, na imefafanua juu ya umuhimu wa kumtii Mtume (s.a.w) pia imezungumzia uzito wa Sunna za Mtume (s.a.w) na hasara za kwenda kinyume na Sunna zake. Mada hii inazungumzia: Kumfuata Mtume (s.a.w) ndio kuongoka, na kwamba kumpenda Allah kunafungamana na kumfuata Mtume (s.a.w), pia imezungumzia umuhimu wa kushikamana na Qur’an na Sunna, na hatari ya kufuata mazoea.

  • Kiswahili

    PDF

    Uwajibu wa kuzifanyia kazi Sunnah za Mtume Rehma na amani za Allah ziwe juu yake na ukafiri wa mwenye kuzikanusha

  • Kiswahili

    YOUTUBE

    Mada hii Inaelezea kuhusu ibn umar R.A katika wengi wa kupokea hadithi za mtume na kumfata sunna zake.

  • Kiswahili

    PDF

    Mada hii inazungumzia: Umuhim wa kufuata suna za Mtume (s.a.w), imezungumzia pia malipo ya wenye kunusu sunna.

  • Kiswahili

    MP3

    Mada hii inazungumzia adabu za kuzungumza katika uislam.

Ukurasa : 1 - Kutoka : 1