Utunzi wa kielimu

Kutayammam

kutayammam ni Muislamu kutumia udongo badala ya maji kwa sababu maalumu, mtu anachukua mchanga ulio safi kisha anapiga viganja mara (1) kisha anapuliza kisha anapaka usoni mara (1) na juu ya kiganja cha mkono wa kulia kisha kiganja cha mkono wa kushoto mara moja moja.

Idadi ya Vipengele: 1

  • Kiswahili
    video-shot

    MP4

    Mada hii inazungumzia hukumu za kutayamamu,maana yake,na hukumu yake na wakati wa kutayamamu,mwanzo wa kutayamamu na mwisho wake,na jinsi ya kutayamamu,na vinavyo haribu kutayamamu,

Ukurasa : 1 - Kutoka : 1
Maoni yako muhimu kwetu