Utunzi wa kielimu

 • Kiswahili
 • Kingereza

  PDF

  Kitabu kwa lugha ya kingereza kinakusanya maelekezo kwanjia ya picha kwa ufupi namna ya kutekeleza ibada ya hijja na umra kwa dalili ndani ya Qur-ani na mwenendo sahihi wa nabii Muhammad (s.a.w).

 • Kifaransa

  MP3

  Hijja kuelekea ktk mji wa Makkah ni moja ktk nguzo tano za Uislamu, nayo ni ibada ndani yake kuna mkusanyiko wa ibada nyingi za kimwili na kimoyo na mali, nilazima kuitekeleza kwa mwenye uwezo wa kimwili na kimali kwa umri mara moja. Amesema Allah Mtukufu: (Na kwa ajili ya Mwenyezi Mungu imewajibikia watu wahiji kwenye Nyumba hiyo, kwa yule Mwenye uwezo njia ya kwenda. Na atakaye kanusha basi Mwenyezi Mungu si mhitaji kwa walimwengu). Al-Imran: (97).

 • German

  MP4

  Abdur Raheem Green Mmoja miongoni mwa Masheikh maarufu Duniani anatuzungumzia kusilimu kwake na sababu ya kuingia ktk Uislamu?

 • Kiswahili

  LINK

  Tovuti ya Al-Fiqh inaelezea sheria za Kiislam kama ilivyofunuliwa katika Quran na Sunnah. Inaonyesha Sheria ya Kiislamu kwa Matendo ya ibada kama vile swalah, Zakat, funga, Hajj, na nguzo za uislamu. Katika al-Fiqhi unaweza pia kupata vitabu vya Kiislamu, sauti navideo,fatwaa https://www.al-feqh.com/sw

Ukurasa : 1 - Kutoka : 1
Maoni yako muhimu kwetu