Utunzi wa kielimu

معلومات المواد باللغة العربية

Ndoto

Mtu akilala na kuota ndoto nzuri yatakiwa afanye mambo (3) baada ya kushtuka 1: kusema Alhamdulillah. 2: Afurahi. 3: Awaambie watu anaowapenda. ukiota ndoto mbaya utafanya mambo yafuatayo: 1: sema Audhubillahi minash' shaitwani rrajim mara (3). 2: utageuka ubavu ulalie ubavu wa kulia. 3: utatoa cheche za mate mara (3) upande wa kushoto. 4: Aombe dua kwa kusema: Mwenezi Mungu najilinda kwako kutokana na shari ya ndoto nilio iona na kutokana na shari ya shaitwani. 5: ndoto mbaya zikizidi swali rakaa (2).

Idadi ya Vipengele: 1

Ukurasa : 1 - Kutoka : 1
Maoni yako muhimu kwetu