Utunzi wa kielimu

Tauhidi ya majina na sifa

Tauhidi ya majina na sifa: Mana yake kumpwekesha Mwenyezi Mungu kutokana na sifa zake na majina yake, kufahamu ya kwamba Mwenyezi Mungu anayo majina mazuri mazuri, pia anazo sifa kamilifu zisizo kuwa na upungufu.

Idadi ya Vipengele: 108

Ukurasa : 6 - Kutoka : 1
Maoni yako muhimu kwetu