Utunzi wa kielimu

 • video-shot

  MP4

  Wanatuelezea watu wanne Mpagani mmoja na wakristo wa tatu kuhusu kusilimu kwao muda ulio pita, kwenye kipindi cha (The Deenshow) kisa kifupi na kwamba waliupata Uislamu ndani ya nafsi zao.

 • video-shot

  MP4

  Muhadhara kuhusu kusilimu wamagharibi anaelezea sababu ya kuingia wengi katika wanachuoni wa kimagharibi katika Uislam.

 • PDF

  Makala kwa lugha ya Almania ikielezea Kisa cha kuslimu mwanamke Mkatholikin kutokea Ungarn.

 • PDF

  Makala iliyo tafsiriwa kwa lugha ya Almania inaelezea Kisa cha kuslimu Muhubiri wa Kikatolik

 • video-shot

  MP4

  Katika kipindi hiki ataelezea sheikh Eddie sababu zinazo pelekea wanawake wengi kuingia ktk Uislam kuliko wanamume, na namna walivyo pata uhuru wa kweli na amani ndani ya Uislamu.

 • PDF

  Makala kwa lugha ya Almania ikielezea Kisa cha kuslimu Anjelin Maklarin Mmarekani, ikielezea namna alivyo ingia katika Uislamu tangu miaka 6 na akabadilisha jina kwa sasa anaitwa Sumayya bint Jowan.

 • PDF

  Makala yametafsiriwa kwa lugha ya Almania yanazungumzia kisa cha kusilimu mtoto wa Askofu na kubainisha alivyo ingia ktk Uislamu.

 • PDF

  Makala imetafsiriwa kwa lugha ya Almania inaelezea kisa cha kusilimu mwanafunzi wa chuo kikuu katika nchi ya Almania.

 • PDF

  Kitabu kimetafsiriwa kwa lugha ya Almania, kinaelezea kisa cha Mlinganiaji maarufu Yusuf Estes, kinaelezea namna alivyo ingia yeye na familia yake katika Uislamu.

 • PDF

  Makala kwa lugha ya Almania inaelezea nafasi ya tabia njema katika Uislamu na kuwafanyia vizuri wasiokuwa Waislamu, ilikuwa ni sababu ya kuvutiwa William na kuslimu kutokana na tabia nzuri alizo fanyiwa na rafiki yake.

 • PDF

  Makala kwa lugha ya Almania, inaelezea kisa cha Mtu wa Holande, aliye ijuwa dini ya haki.

 • PDF

  Makala kwa lugha ya Almania inaelezea kisa cha Sara Bokker, Mmarekani, na namna alivyo kuwa ktk maisha ya Miami baada ya kuingia ktk Uislamu, na akapata uhuru wa hali ya juu, na kujuwa utaratibu wa mavazi ya mwanamke ktk Uislamu.

 • PDF

  Makala imetafsiriwa kwa lugha ya Almania, inaelezea kisa cha kijana wa Marekani amegundua alama nyingi alizo ziagiza Mwenyezi Mungu, hadi Allah akamkirimu kuingia katika Uislamu.

 • PDF

  Makala kwa lugha ya Almania ikielezea kisa cha kuslimu Mwanamke Myonani, alie lelewa katika maisha ya kuuchukiya Uislamu.

 • PDF

  Makala kwa lugha ya Almania ndani yake: Binti wa Kikristo mwenye kujistiri anauliza maswali kuhusi itikadi yake, anaanzia ndani ya Qur-ani, Binti wa kikristo anakutana na maswali yake ndani ya Qur-ani, lakini anakutana na matatizo kutoka kwenye familia yake baada ya kuingia ktk Uislamu.

 • PDF

  Makala kwa lugha ya Almania ikielezea kisa cha mwanamke wa kiyahudi baada ya kuangalia utaratibu katika Muskiti kupitia mume wake Muislamu na baadhi ya wakina dada, baada ya kujihimiza kuangalia maisha ya waislamu kagundua ya kwamba Uislamu ndio njia ya Uusiano kati ya Mja na Mola wake, na njia ya kufutiwa madhambi yaliyo pita, na Uislamu peke ndio sababu ya kupata utulivu wa uhakika.

 • PDF

  Makala kwa lugha ya Almania inabainisha mpingaji mmoja aliye vutiwa na Ukristo, lakini baada ya muda anajiwa na maswali bila ya majibu, akawa na mapenzi na Uislamu.

 • PDF

  Makala kwa lugha ya Almania inabainisha ya kwamba Sophie kashiba fikra potovu kuhusu Uislamu, akachukuwa uamuzi ahakikishe mwenyewe, akaingia ktk Uislamu.

 • PDF

  Makala kwa lugha ya Almania ikielezea Kisa cha Sara Hermansson, mzaliwa wa Schweden, anatuelezea alivyo pata uongofu mwaka 2004م kwa kuingia katika Uislamu.

 • PDF

  Kitabu chaelezea visa mbali mbali kuhusu badhi ya watu wa falsafa na fani mbali mbali waliyo tangulia na wazama hizi sababu iliyo wapelekeya kuingia katika Uislamu.

Ukurasa : 8 - Kutoka : 1
Maoni yako muhimu kwetu