Utunzi wa kielimu

معلومات المواد باللغة العربية

Kuamini Qadari

Kuamini Hukumu ya Mwenyezi Mungu na Qadari ni nguzo katika nguzo za Imani, haiwezi kutimia imani ya mja mpaka afahamu ya kwamba kinacho msibu hakikuwa nichenye kumkosa, na chenye kumkosa hakikuwa nichenye kumpata, katika kurasa hizi kuna baadhi ya mada zinazo zungumzia nguzo hii.

Idadi ya Vipengele: 5

Ukurasa : 1 - Kutoka : 1
Maoni yako muhimu kwetu