Mada hii inazungumzia msimamo wa Uislam kuhusu kuhusu kupigana Jihadi katika njia ya Allah, na upambanuzi wake, na tatizo la waislam wengi kuto fatilia mambo kwa kina, na madhara ya Hamasa.
Mada hii imezungumzia vita baina ya waislam na makafiri,na jinsi alivyo pigana mtume rehma na amani ziwe juu yake na msimamo wa mtuma kwa viongozi wa kiquraish.
Mada hii inazungumzia: Mbinu wanazozitumia maadui wa Uislamu lengo ni kuuchafua uislam, lazima watu waisafishe dini ya Allah (S.w), imezungumzia pia ubaya wa kundi la khawarij na uharamu wa kuua au kumwaga damu bila haki.
Mada hii inazungumzia yanayo letwa na mwzi wa ramadhani,na ushindi ulio patikana katika mwezi wa ramadhani,na yanayo paswa kufanywa katika mwezi wa ramadhani,na sharti ya ushindi.