Namna Ya Kuingia Kwa Mwezi Wa Ramadhan Na Kutoka Kwake

Maelezo

Mada hii inazunguzia: Neema ya kufikishwa katika mwezi mtukufu wa ramadhani pia amezungumzia jinsi unavyo ingia mwezi wa ramadhani na kutoka kwake na hali zawatu katika swala la mwandamo wa mwezi na njia sahihi ktika kuthibitisha mwezi.
Mada hii inazunguzia: Kuingia kwa Mwezi wa Ramadhan na kutoka kuna njia mbili, njia ya kwanza ni kuonekana kwa mwandamo, na njia ya ya pili ni kutimiza siku thalathini, pia imezungumzia ubora wa kufunga na kufungua siku moja waislamu wote duniani.

Download
Tuma maoni kuhusu ukurasa huu kwa msimamizi

Utunzi wa kielimu: