Kumfanyia Adabu Allah
Mhadhiri : Swalehe Ibrahim
Kurejea: Abubakari Shabani Rukonkwa
Maelezo
Mada hii inazungumzia:kuwa na adabu na Allah kazungumzia maana ya adabu na cheo cha Adabu, pia kazungumzia hatuwa za kuwa na adabu na Allah, na sifa za mwenye adabu, na jinsi ya kuwa na adabu na Allah.
- 1
MP3 30.3 MB 2019-05-02
Utunzi wa kielimu: