Vipi tuitafute lailatul qadr ?

Maelezo

Mada hii inazunguzia Namna ya kuitafuta lailatul Qadri, amezungumzia umuhimu wa kuitafuta lailatul Qadri na ubora wake, na ubora wa Ummat Muhammad, na malipo ya atakae pata usiku huo, na malipo ya mwenye kuitafuta lailatul Qadri.
Mada hii inazunguzia Namna ya kuitafuta lailatul Qadri, amezungumzia ibada ambazo anatakiwa kuzifanya muislam anaetafuta lailatul Qadri, na muda wa kuanza kuitafuta lailatul Qadri, miongoni mwa matendo hayo ni kusoma Quraan na kuhuyisha usiku.

Download
Tuma maoni kuhusu ukurasa huu kwa msimamizi

Utunzi wa kielimu: