Mada hii inazungumzia mwezi mwandamo na uwajibu wa muislam pindi unapo onekana mwezi,na kuwatanabaisha waislam kuhusu ubainifu wa mwezi wa kitaifa na kimataifa,na umuhimu wa kufunga kama alivyo funga mtume (s.a.w)
Mada hii inazungumzia uongozi katika uislam,na umuhimu wa uongozi,na matatizo ya misikitini na tasisi za kislam,na dalili ambazo zimekuja kuzungumzia uongozi,mifano hai ya uongozi na umuhimu wake
Mada hii inazungumzia umuhimu wa kuanzisha na kuendeleza mashule na vyuo vya kislam,na umuhimu wa elimu kaika uislam,na elimu nisababu ya kufanikiwa,na udhaifu wa umma wa kiislam katika upande wa elimu.