Idadi ya Vipengele: 5
2 / 7 / 1435 , 2/5/2014
Mada hii imezungumzia vita baina ya waislam na makafiri,na jinsi alivyo pigana mtume rehma na amani ziwe juu yake na msimamo wa mtuma kwa viongozi wa kiquraish.
19 / 4 / 1436 , 9/2/2015
Mada hii inazunguzia Maajabu ya watu wema walio tangulia.
5 / 7 / 1435 , 5/5/2014
Mada hii imezungumzia aina za watu siku ya Qiyama nyuso nyeupe na nyuso nyeusi na mafikiyo ya kila kundi.
Mada hii imezungumzia mwangaza wa Quran na sababu ya kupata nguvu uislam na madhara ya kuto kujitambuwa na kisa cha vijana wa pangoni.
25 / 12 / 1434 , 30/10/2013
Mada hii inazungumzia hikima mbalimbali za funga na siri mbalimbali,na mambo mengi yaliyomo katika ramadhani,na sifa za watu wema katika swaumu.