-
Jabir Yusuf Katura "Idadi ya Vipengele : 1"
Maelezo :Shekh Jabir Yusuf Katura: Amemaliza masomo yake katika chuo kikuu cha kiislam Madina nchini Saudi Arabia. Kwa sasa ni mlinganiaji na khatwib katika Msikiti wa Ijumaa Mwanza, pia ni Mudir katika Markaz ya Thaqafah, Mwanza Tanzania.-