معلومات المواد باللغة العربية

Shamsi Ilmi - Audios

Idadi ya Vipengele: 15

  • Kiswahili

    • Mada hii inazungumzia: Haki za binadamu katika uislam amezungumzia maana ya haki na umuhimu wa kujuwa haki za binadamu na ulazima wa kuzilinda, pia ametaja haki tano katika Quraan kwa ujumla. • Mda hii inazungumzia: maana ya binadamu na maana ya uislam, na ametaja mafundisho ya uislam kuhusu haki za binadamu. • Amezungumza kuwa uislam ndio wakwanza kufundisha haki za binadam, Haki ya kwanza (Haki ya kuishi). • Mada hii inazungumzia: Uharam wa kujiua na niharam kutumia kitu ambacho kitamsababishia kifo, kama kuvuta sigara na pombe nk, pia amezungumzia haki ya pili (Kulinda mali za watu) na uharam wa kudhulumiana. • Mada hii inazungumzia: Uharam wa kudhulumiana na chanzo chake, pia amezungumzia uharam wa kula riba na njama za nchi zilizo endelea katika kula riba, pia kazungumzia uharam wa kula rushwa, na dhulma nimaradhi yanayo ambukiza. • Mada hii inazungumzia: Haki za binadamu ikiwemo mwanamke kuheshimiwa utu wake, amebainisha hali ya mwanamke kabla ya uislam, na jinsi uislam ulivyo linda heshima ya mwanamke, kabainisha jinsi mwanamke anavyo dhalilisha mwanamke katika karne ya 21. • Mada hii inazungumzia: Haki za binadamu ikiwemo haki ya kuabudu, na amebainisha kuwa hakuna kulazimishana, kasha akataja hali ya ulinganiaji wakati wa mtume na uongo wa wale wanao sema uislam ulienezwa kwa upanga, bali uislam uliingia kwa hoja zenye nguvu. • Mada hii inazungumzia: Haki za binadamu nayo nihaki ya mwanadamu kuwa huru, na msingi wa uhuru wa binadamu, ambayo inatolewa katika maneno ya Omar bin Khatwabi (r.a).

  • Kiswahili

    Mhadhiri : Shamsi Ilmi Kurejea : Yunus Kanuni Ngenda

    Mada hii inazunguzia namna dunia ilivyo uchanganya umma wa kiislam.

  • Kiswahili

    1- Mada hii inazungumzia umuhimu wa kuandaa darsa kwa wanawake, kwasababu ndio wengi motoni, na ametaja sababu za kuwa wengi motoni, kasha amehusiya watu wahifadhi ndimi zao. 2- Mada hii inazungumzia sababu ya wanawake kuingia motoni kama kulani sana na kukataa wema wa mume wake, ametaja jinsi mwaname anavyo shawishika katika zama hizi, kisha amezungumzia maana ya ugeni katika dini . 3- Mada hii inazungumzia baadhi ya mifano kwa wanawake walio pata mateso lakini wakathibiti katika dini, kama Mwanamke aliekuwa anafanya kazi ya kuwasuka mabinti wa Firauni, na mke wa Firauni amehimiza umuhimu wa kuithamini Dini. 4- Mada hii inazungumzi halia za wanawake wa kiislam na udhaifu wao katika ibada nakudai kwao haki sawa, na baadhi ya hoja dhaifu katika kuvaa hijabu, kisha akabainisha umuhimu wa mwanamke wa kiislam kushikamana na dini. 5- Mada hii inazungumzia tabia ya kusengenya wanawake, na uharamu wake, na uwajibu wa kuhifadhi ndimi, kisha akataja kuwa mwanamke atakaeshikamana na dini atakuwa peponi na familia yake.

  • Kiswahili

    Mhadhiri : Shamsi Ilmi Kurejea : Yunus Kanuni Ngenda

    Mada hii inazunguzia namna ya kuutumia udhaifu katika kuupata ucha Mungu

  • Kiswahili

    Mhadhiri : Shamsi Ilmi Kurejea : Yunus Kanuni Ngenda

    Mada hii inazunguzia maisha ya Swahaba mtukufu Abdullahi Bun Mas’uud (R.a)

  • Kiswahili

    Mhadhiri : Shamsi Ilmi Kurejea : Yunus Kanuni Ngenda

    Mada hii inazunguzia maisha ya Swahaba mtukufu Musw-ab Bun Umeyr (R.a)

  • Kiswahili

    Mhadhiri : Shamsi Ilmi Kurejea : Yunus Kanuni Ngenda

    Mada hii inazunguzia maisha ya Swahaba mtukufu Bilali Bin Rabbah (R.a)

  • Kiswahili

    Mhadhiri : Shamsi Ilmi Kurejea : Yunus Kanuni Ngenda

    Mada hii inazunguzia maisha ya Swahaba mtukufu Abuu Dharril ghafary (R.a)

  • Kiswahili

    Mhadhiri : Shamsi Ilmi Kurejea : Yunus Kanuni Ngenda

    Mada hii inazunguzia maradhi ya moyo, na katika maradhi makubwa ya moyo ni dhana mbaya.

  • Kiswahili

    Mhadhiri : Shamsi Ilmi Kurejea : Yunus Kanuni Ngenda

    Mada hii inazunguzia adabu za mchezo na mzaha, na vipi Maswahaba walifanya michezo na mizaha.

  • Kiswahili

    Mhadhiri : Shamsi Ilmi Kurejea : Yunus Kanuni Ngenda

    Mada hii inazunguzia adabu na umuhimu wa salam katika uislam

  • Kiswahili

    Mhadhiri : Shamsi Ilmi

    Mada hii inazungumzia hukumu ya muzii na dalili zake na qauli za wanachuoni juu ya uharamu wa muziki.

  • Kiswahili

    Mhadhiri : Shamsi Ilmi

    Mada hii inazungumzia Adabu za kiislam na adabu za Msikiti na umuhimu wake.

  • Kiswahili

    Mada hii inazungumzia adabu za kuzungumza katika uislam.

  • Kiswahili

    Mada hii inazungumzia misingi bora ya malezi ya mtoto katika uislam,tangu hajazaliwa mtoto,pia imezungumzia matatizo ya malezi na ufumbuzi wake.

Ukurasa : 1 - Kutoka : 1