-
Hashim Rusaganya "Idadi ya Vipengele : 42"
Maelezo :Shekh Hashim Rusaganya: Amehitimu masomo yake katika Chuo kikuu cha kiislamu Madina Nchini Saudi Arabia. Kwa sasa ni katika walinganiaji wakubwa Nchini Tanzania, na ni muongozaji wa Mahujaji wakati wa Hijja.