Mada hii inazungumzia: sababu za tawba, katika hizo sababu: ni kwasababu Allah ni mwingi wa kukubali tawba, na kwakuwa Mtume anaitwa mtume wa tawba, kisha akabainisha maana ya mnafiki.
Mada hii inazungumzia: mawakala wa shetani katika wanadamu, nao niwale wanao wafanyia mipango watu wa maasi ya kuzini na riba na mengineyo, kisha akabainisha kuwa kinga ya dhambi ni tawba
Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa sharti za kukubaliwa tawba nikurejesha haki za watu, kisha amebainisha aina ya haki za watu: Heshima za watu au mali zako