Kitabu hiki kinazungumzia masomo katika umuhimu wa Tawhiid kimezungumzia: Walaa na Balaa, na uislam ndio dini ya nabii Ibrahim, Niwajibu kwa Mwanadamu amuabudu Mwenyezi Mungu peke yake, jambo kubwa alilo amrisha Mwenyezi Mungu waja wake ni Tawhiidi, na Nini maana ya Tawhiidi.?
Makala hii inazungumzia: Fadhila za kula daku na kwamba Allah pamoja na Malaika humtakia rehma mtu mwenye kula daku, pia imezungumzia ubora wa kuchelewesha kula daku.