-
Ahmed bin Abdul Halim bin Taymiyyah "Idadi ya Vipengele : 160"
Maelezo :Shaykh Al-Islam Ibn Taymiyyah Mungu Amrehemu: Ahmad Taqiy Al-Din Abu Al-Abbas Bin Abdul Halim Bin Abdul Salam Bin Abdullah Bin Abu Al-Qasim Alkhadhwar Bin Mohammed Bin Khadhwar Bin Ali Bin Abdullah Ibn Taymiyyah Al Harrany.
Wametaja wanachuoni wa Tarjama Qauli tofauti katika sababu ya ya kuitwa familia yake kwa jina la (Al Taymiyyah), miongoni mwa Qauli zao, niqauli ya Ibn Abdul Hadiy Allah amrehemu: (Babu yake Muhammad mama yake alikuwa anaitwa Timiyyah), na alikuwa nimtoa Mawaidha akanasibishwa na Taymiyyah.na Inasemekana : Hakika babu yake Muhammad Bin Khadwar alifanya Hajji akaona mtoto kwa mbali, alipo rudi alimkuta mke wake amejifunguwa mtoto wa kike akasema :Ewe Taymiyyah ewe Taymniyyah,Akaitwa hivyo.