-
Salim Bafadhili "Idadi ya Vipengele : 2"
Maelezo :Shekh Salim Bafadhili: Ni naibu Mudiri katika taasisi ya Answar, na ni mwalimu katika chuo cha Maahad Imamu Shafii na Ummu Salama, pia ni mlinganiaji katika misikiti ya yote ya Answar Tanga Tanzania.