معلومات المواد باللغة العربية

Husseni Saidi Sembe - Audios

Idadi ya Vipengele: 9

  • Kiswahili

    Khutba hii inazungumzia chimbuko la amani,na misingi ya mshikamano.

  • Kiswahili

    1- Mada hii inazungumzia: Uzito wa dhambi ya uzinifu na kwamba ni katika madhambi makubwa yenye kuangamiza, pia imezungumzia makatazo ya Allah juu ya uchafu wa zinaa na kuto kuikaribia zinaa, pia amezungumzia nyumba za zinaa. 2- Mada hii inazungumzia: sifa za watu wema na adhabu za wazinifu, kisha amebainisha madhambi makubwa, kisha akataja kuwa kuikurubia zinaa niharamu na nitabia mbaya. 3- Mada hii inazungumzia: Sababu za uzinifu miongoni mwa sababu hizo nikuviachia viungo na kuto kuweka mipaka katika kuishi na wanawake, nakuto kuinamisha macho na ndimi, sababu ya pili nikuzurura na wanawake na kuongozana nao. 4- Mada hii inazungumzia: Dhambi za uzinifu na sababu zake sababu ya tatu nikupeyana mikono na kugusana, na amezungumza uzito wa dhambi ya kumshika mwanamke asie halali kwake, pia ametaja sababu zinazo pekelea kugusana, sababu ya nne nikuingia katika sehemu za wanawake. 5- Mada hii inazungumzia: Sababu za uzinifu miongoni mwa sababu hizo ya tano nikukaa faragha mwanamume na mke ila akiwa nimahrim, katika faragha nikurejea masomo wanawake na wanaume katika vyuo na mashule, na katika kuchumbiyana, kisha amezungumza uwezo wa mwanamke katika kumpa mtihani mwanamume.

  • Kiswahili

    Mada hii nazungumzia ubora wa elim ya sheria ya Dini ya kiislam, na umuhim kusoma elim nyingine.

  • Kiswahili

    Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kusimama na kuitangaza haki, na kwamba kuibanisha haki ni wajibu kwa wenye elimu na ni sababu ya msingi katika kuihifadhi dini na hukumu zake, imezungumzia pia namna Mtume (s.a.w) alivyoibainisha haki

  • Kiswahili

    Mada hii inazungumzia kuondoa uovu na hatuwa zake.

  • Kiswahili

    Mada hii inazungumzia fitna zilizoenea katika zama na namna ya kijiepusha.

  • Kiswahili

    Mada hii nazungumzia umuhimu wa kufanya ibada na mambo mema katika muda wote wa uhai

  • Kiswahili

    Mada hii inaelezea umuhimu wa ndoa.

  • Kiswahili

    Khutba ya idi inazungumzia muislam alie fanikiwa na kwamba uislam ndio dini ya haki,na maaduwi wa uislam katika historia,na habari njema kwa waislam.

Ukurasa : 1 - Kutoka : 1