Mada hii inazungumzia: Nini afanye mtu ambae kumeadhiniwa haliyakuwa yupo ndani ya msikiti, pia imeelezea mambo yanayotakiwa kutekelezwa kabla ya kuingia katika swala.
Mada hii inazungumzia: Dua baada ya adhana, pia imezungumzia umuhimu wa kuomba dua baada ya adhana na kuwaombea wazazi, watoto na wengineo katika uislamu.
Mada hii inazungumzia: Mahala atakapo pumzika Mtume (s.a.w) Peponi baada ya kufa kwake, pia imefafanunua na kutafsiri maajabu yote aliyo kutana nayo Mtume (s.a.w) na Malaika.
Mada hii inazungumzia: Mwongozo wa Mtume (s.a.w) katika hadithi ya ndoto na maajabu aliyoyaona akiwa na Malaika, pia imezungumzia nyumba aliyokabidhiwa Mtume (s.a.w) na Malaika baada ya safari ndefu.
Mada hii inazungumzia: Mwongozo wa Mtume (s.a.w) juu ya malipo ya mtu mwenye kuswali swala ya jamaa nyuma ya takbira ya Imamu kwa siku arubaini, pia imezungumzia swafu iliyo bora kwa wanaume.