Mada hii inazungumzia wasia wa mtume s.a.w kwa Muadhi (r.a) ameeleza kuwa tabiya ya mtume ilikuwa Quraan, na ametumwa ili kutimiliza tabiya nzuri, ameongelea njia salama za malezi ya watoto, na njia ya mtume katika kurekebisha makosa.
Mada hii inazungumzia wasia wa mtume s.a.w kwa Muadhi (r.a) amezungumzia cheo cha tabia nzuri, na aina ya tabiya njema, ameeleza kuwa mtume alisifiwa kwa tabia njema.
Mada hii inazungumzia wasia wa mtume s.a.w kwa Muadhi (r.a) amezungumzia kuwa misiba inayo wapata wanadamu nisababu ya kupandishwa daraja na kusamehewa madhambi yake, kisha amezungumzia neema ya Afya.
Mada hii inazungumzia wasia wa mtume s.a.w kwa Muadhi (r.a) amezungumzia njia za kufanya istighfar na ametaja dua ambazo ni bwana wa msamaha, na maana zake, na umuhimu wa kuhifadhi dua hii, na faida za istighfar.
Mada hii inazungumzia wasia wa mtume s.a.w kwa Muadhi (r.a) amezungumzia jinsi ya kurejesha haki katika tawba, na mambo ambayo hayafai katika tawba, na ameeleza mambo yanayo tenguwa tawba.
Mada hii inazungumzia wasia wa mtume s.a.w kwa Muadhi (r.a) amebainisha yanayo muokowa na Adhabu za moto, na ameeleza dhambi ambazo hazisameheki, kaiha amebainisha aina za tawba, na makosa ya watu katika tawba.
Mada hii inazungumzia wasia wa mtume s.a.w kwa Muadhi (r.a) amezungumzia umuhimu wa tawba na masharti yake, na faida za tawba, na kwamba dawa ya makosa ya mja ni kufanya Tawba.
Mada hii inazungumzia wasia wa mtume s.a.w kwa Muadhi (r.a) ameeleza jinsi Allah anavyo zalisha mema ya mwanadamu, kisha amehusia watu juu ya umuhimu wa kuunganisha watu.