Idadi ya Vipengele: 8
26 / 4 / 1436 , 16/2/2015
Mada hii ni fatwa inayo zunguzia kua Kuwaomba waliopigana katika vita vya Badri niushirikina.
Mada hii ni fatwa inayo zunguzia hukumu ya kuwaomba watu walio kufa katika vita vya Badri na mafungamano yao na waganga wa kienyeji.
20 / 4 / 1436 , 10/2/2015
Mada hii ni fatwa inayo zunguzia Hukumu ya mwanaume kuswali jamaa nyumbani na familia yake.
Mada hii inazunguzia Athari ya swala zetu katika nafsi zetu.
3 / 4 / 1436 , 24/1/2015
Mada hii inazunguzia Fatwa kuhusu jinsi ya kuswali Istikhara.
Mada hii inazunguzia Fatwa kuhusu kutenguka kwa udhu wanapo gusana mwanamke na mwana mume.
Mada hii ni fatwa inayo zunguzia hukumu ya kula mali ya ndugu yako,na hukumu ya kuswalia jeneza baada ya Asri ,na hukumu ya kuweka pesa katika benki za kiislam.
Mada hii inazunguzia Fatwa kuhusu mrathi ya Mtoto wa kike,na hykumu ya kuvunja mifupa ya Akika ya mtoto.