-
ALLY ZUBERI "Idadi ya Vipengele : 1"
Maelezo :Shekh Ally Zuberi: Amemaliza masomo yake kitengo cha Hadith katika Chuo kikuu cha kiislamu Madina nchini Saudi Arabia. Kwa sasa ni mlinganiaji katika Mkoa wa Tanga na ni khatwib katika Msikiti wa Darul Uluum, pia ni Mudiri wa chuo cha Darul Uluum Tanga Tanzania.-