Anuwani ya mada hii ni: Muhammad ni mjumbe wa Allah, na kwamba ummat Muhammad ndio utakuwa wa kwanza kuingia peponi, pia imezungumzia mambo 3 wasio na imani hawayapendi.
Mada hii inazungumzia: Mapenzi ya Allah juu ya waja wake na kwamba siku ya Arafa ni sababu ya waja kurudi kwa Mola wao pamoja na kulia sana, pia imezungumzia siku ya Arafa Allah anakuwa karibu na waja wake.
Mada hii inazungumzia: Ubora wa siku ya Arafa na kwamba ni siku ya kutubia na kuomba dua pamoja na kufanya tasbihi sana, pia imezungumzia umuhimu wa kuwa na yakini na kuto kata tamaa kwani Rehma ya Allah ni pana.
Mada hii inazungumzia: Inazungumzia maana ya Arafa na Aya iliyoshuka kwa Mtume (s.a.w) alipokuwa Arafa, pia imezungumzia Arafa ni siku ambayo watu wanaachwa huru na moto.
Mada hii inazungumzia: Uzito na ubora wa siku ya Arafa na jinsi inavyo fanana na siku ya Qiyama pia nikwamba mwenye kufanya Hijja anatakiwa akithirishe kufanya toba, pia imezungumzia umuhimu wa kuendelea kufanya matendo mema baada Hijja.
Mada hii inazungumzia: Mwenye kufanya Hijja azingatie kila kipengele katika vipengele vya Hijja, pia imezungumzia kuchunga matendo ya Hijja, kukithirisha dua pamoja na kukumbuka Akhera (Qiyama)
Mada hii inazungumzia: Mafungamano baina ya mkusanyiko wa siku za Hijja na siku ya Qiyama, pia imezungumzia anayefanya Hijja akumbuke mnasaba wa kumvisha sanda maiti na uvaaji wa ihram.