• Kiswahili

    Mwenye kufanya Marejeleo, Idadi ya Vipengele : 1

  • Kiswahili

    Mtunzi, Mwenye kufanya Marejeleo, Idadi ya Vipengele : 2

    Shekh Muhammad Bawazir: -

  • Kiswahili

    Mwenye kufanya Marejeleo, Idadi ya Vipengele : 4

  • Kiswahili

    Mtunzi, Mwenye kufanya Marejeleo, Idadi ya Vipengele : 20

  • Kiswahili

    Mtunzi, Mwenye kufanya Marejeleo, Idadi ya Vipengele : 75

    Shekh Shahidi Muhammad Zaid: Amehitim masomo yake katika Chuo kikuu cha kiislamu cha Imamu Muhammad Bin Soud Nchini Saudi Arabia. Ni mlinganiaji katika mji wa Mwanza Tanzania.

  • Kiswahili

    Mtunzi, Mwenye kufanya Marejeleo, Idadi ya Vipengele : 48

    ABUU KARIIM ALMARAKISHY Nimtafiti katika kulinganisha usahihi wa dini

  • Kiswahili

    Mtunzi, Mwenye kufanya Marejeleo, Idadi ya Vipengele : 84

    Idara ya Utafiti wa kielimu katika Chuo Kikuu cha Kiislamu Madiana Almunawarah

  • Kiswahili

    Mtunzi, Msomaji, Mwenye kufanya Marejeleo, Idadi ya Vipengele : 155

    Imamu na khatwibu wa Msikiti wa Mtume (s.a.w).

  • Kiswahili

    Mtunzi, Mwenye kufanya Marejeleo, Msomaji, Idadi ya Vipengele : 521

    Imamu wa Msikiti wa Mtume Mtukufu

  • Kiswahili

    Mtunzi, Mwenye kufanya Marejeleo, Idadi ya Vipengele : 160

    Mwana chuoni Shekh Muhammad Nasiruddin Al-Albani ni mmoja ya wanachuoni wa kiislam Mashuhuri katika zama za sasa na anazingatiwa Shekh Al-Albani nikatika wanachuoni wa Fani ya Hadithi mashuhuri wakipekee katika elimu ya Jarhi na Taadili (Kukosowa), Shekh Al-Albani ni Hoja katika Elimu ya Misingi ya Hadithi (Mustwalahu Alhadithi), walimzungumzia wanachuoni wa fani ya Elimu ya Hadithi kwamba Shekh Al-Albani alirudisha fani ya Hadithi katika zama za Ibn Hajar Al- Asqalan, na Alhafidh Ibn Kathir na wenginewe katika wanachuoni wa Fani ya Jarhi na Taadili. Jejea :Tovuti ya Imamu Al-Albani.http://www.alalbany.net

  • Kiswahili

    Mwenye kufanya Marejeleo, Mtunzi, Idadi ya Vipengele : 194

  • Kiswahili

    Mtunzi, Msomaji, Mwenye kufanya Marejeleo, Idadi ya Vipengele : 214

    Imamu na khatwibu wa Msikiti wa Mtume (s.a.w).

  • Kiswahili

    Mwenye kufanya Marejeleo, Mtunzi, Mkarimani, Idadi ya Vipengele : 252

    Shekh Yunus Kanuni Ngenda: Ni mwanafunzi katika Chuo kikuu cha kiislamu cha Imamu Muhammad Bin Soud Nchini Saudi Arabia. Na ni mhakiki wa lugha ya kiswahili katika tovuti ya IslamHouse.com, pia ni Imamu na Khatwib Masjid Rahman, Mbezi Beach Dar Es Salaam Tanzania.

  • Kiswahili

    Mtunzi, Mwenye kufanya Marejeleo, Idadi ya Vipengele : 481

  • Kiswahili

    Mtunzi, Mwenye kufanya Marejeleo, Idadi ya Vipengele : 324

    Abu Ameenah Bilal Philips alizaliwa katika Jamaica,Na kukulia katika Canada ambapo yeye alitangaza uongofu wake kwa Uislamu mwaka 1972.Alikamilisha Stashahada kutoka Kitivo cha Kiarabu workouts Kiislamu katika Chuo Kikuu cha Kiislamu Madina almunawara mwaka 1979.Na alikamilisha shahada ya bwana katika dini kutoka Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Riyadh, Chuo cha Elimu mwaka 1985.Katika masomo ya Kiislamu Idara katika Chuo Kikuu cha Wallis,Kukamilika udaktari katika misingi ya Kiislamu mwaka 1994. Mwaka 1994, Dk Bilal alianzisha Kituo cha Habari cha Kiislamu katika mji wa Dubai,katika Falme za Kiarabu, na sasa kinajulikana Discover Islam. Kama alivyo anzisha kitengo cha fasihi ya kigeni katika House press Sharjah Islamic conquest.

  • Kiswahili

    Mtunzi, Mkarimani, Mwenye kufanya Marejeleo, Idadi ya Vipengele : 361

    Sheikh Yasini Twaha Hassani Mwenyeji wa Kigoma nchini Tanzania Mlinganiaji wa Dini ya Kiislam kasoma chuo kikuu nchini Saudi arabia (Riyadh) Elimu ya Sheria kitengo cha (usuluddin) pia nimfasiri wa vitabu vya kiarabu kwa lugha ya kiswahili, na muhadhiri katika TV Afrika swahili, na Imamu na khatwibu wa masjid Answar sunna Mwanga Kigoma mjini nchini Tanzania.

  • Kiswahili

    Mtunzi, Mwenye kufanya Marejeleo, Idadi ya Vipengele : 575

    Mjumbe wa Baraza la Wasomi Wakubwa katika nchi ya Saudi Arabia

  • Kiswahili

    Mtunzi, Mwenye kufanya Marejeleo, Mkarimani, Idadi ya Vipengele : 596

  • Kiswahili

    Mtunzi, Mwenye kufanya Marejeleo, Msambazaji, Idadi ya Vipengele : 742

  • Kiswahili

    Mtunzi, Mwenye kufanya Marejeleo, Mkarimani, Idadi ya Vipengele : 1327

    Shekh Abubakari Shabani Rukonkwa: Ni mwanafunzi katika Chuo kikuu cha kiislamu cha Imamu Muhammad Bin Soud Nchini Saudi Arabia. Na ni msimamizi wa lugha ya kiswahili katika tovuti ya IslamHouse.com, pia ni mlinganiaji katika chanel ya TV Africa na ni Khatwibu katika misikiti ya Answar Tanga Tanzania.

Ukurasa : 2 - Kutoka : 1