• Kiswahili

    Mtunzi, Mwenye kufanya Marejeleo, Mkarimani, Idadi ya Vipengele : 1268

    Shekh Abubakari Shabani Rukonkwa: Ni mwanafunzi katika Chuo kikuu cha kiislamu cha Imamu Muhammad Bin Soud Nchini Saudi Arabia. Na ni msimamizi wa lugha ya kiswahili katika tovuti ya IslamHouse.com, pia ni mlinganiaji katika chanel ya TV Africa na ni Khatwibu katika misikiti ya Answar Tanga Tanzania.

  • Kiswahili

    Mtunzi, Mwenye kufanya Marejeleo, Mkarimani, Idadi ya Vipengele : 579

  • Kiswahili

    Mtunzi, Mkarimani, Mwenye kufanya Marejeleo, Idadi ya Vipengele : 359

    Sheikh Yasini Twaha Hassani Mwenyeji wa Kigoma nchini Tanzania Mlinganiaji wa Dini ya Kiislam kasoma chuo kikuu nchini Saudi arabia (Riyadh) Elimu ya Sheria kitengo cha (usuluddin) pia nimfasiri wa vitabu vya kiarabu kwa lugha ya kiswahili, na muhadhiri katika TV Afrika swahili, na Imamu na khatwibu wa masjid Answar sunna Mwanga Kigoma mjini nchini Tanzania.

  • Kiswahili

    Mwenye kufanya Marejeleo, Mtunzi, Mkarimani, Idadi ya Vipengele : 232

    Shekh Yunus Kanuni Ngenda: Ni mwanafunzi katika Chuo kikuu cha kiislamu cha Imamu Muhammad Bin Soud Nchini Saudi Arabia. Na ni mhakiki wa lugha ya kiswahili katika tovuti ya IslamHouse.com, pia ni Imamu na Khatwib Masjid Rahman, Mbezi Beach Dar Es Salaam Tanzania.

  • Kiswahili

    Mkarimani, Mtunzi, Idadi ya Vipengele : 2

  • Kiswahili

    Mkarimani, Idadi ya Vipengele : 1

  • Kiswahili

    Mkarimani, Idadi ya Vipengele : 1

    Abubakari Khatwibu Al Atrash nimzaliwa wa nchi ya burundi anaishi nchini kanada kwa sasa na nimsimamizi wa tovuti ya :www.wanachuoni.com

  • Kiswahili

    Mkarimani, Idadi ya Vipengele : 1

    Seif Abubakar Ruga

Ukurasa : 1 - Kutoka : 1