Zawadi ya Msomaji katika kufahamu maneno ya Manani
Mwandishi : Shekh Ahmad Khalil Shahin
Tafsiri: Seif Abubakar Ruga
Maelezo
Kitabu hiki"Zawadi ya Msomaji katika kufahamu maneno ya Manani" kimeandikwa na Shekh Ahmad Khalil Shahin, ni katika vitabu muhimu sana, amebainisha ndani yake faida za kujua elimu zinazo ihusu Qurani ikiwemo Aya zilizo futwa na zilizo futa, makusudio ya sura za Quran sababu ya kuteremka ayah, na mambo ya wajibu kwa msomaji wa Quraan kuyafahamu.
- 1
Zawadi ya Msomaji katika kufahamu maneno ya Manani
PDF 2.02 MB 2020-23-12
Utunzi wa kielimu: